Ufafanuzi msingi wa kiongozi katika Kiswahili

: kiongozi1kiongozi2

kiongozi1

nominoPlural viongozi

 • 1

  mtu anayesimamia na kuelekeza watu au kikundi cha watu wafanye kazi au shughuli fulani.

  mkuu, kinara

Matamshi

kiongozi

/kijOngOzi/

Ufafanuzi msingi wa kiongozi katika Kiswahili

: kiongozi1kiongozi2

kiongozi2

nominoPlural viongozi

 • 1

  kitabu chenye maelezo ya namna ya kufanya jambo fulani.

  ‘Kiongozi cha mwalimu’
  mwongozo

Matamshi

kiongozi

/kijOngOzi/