Ufafanuzi msingi wa kipanya katika Kiswahili

: kipanya1kipanya2

kipanya1

nominoPlural vipanya

  • 1

    basi dogo la kubeba abiria wachache.

Matamshi

kipanya

/kipaɲa/

Ufafanuzi msingi wa kipanya katika Kiswahili

: kipanya1kipanya2

kipanya2

nominoPlural vipanya

  • 1

    kifaa kidogo kinachotumika kushughulikia data ya kompyuta.

    kiteuzi

Matamshi

kipanya

/kipa3a/