Ufafanuzi wa kipapatio katika Kiswahili

kipapatio

nomino

  • 1

    ubawa wa ndege, kuku au bata.

Matamshi

kipapatio

/kipapatijÉ”/