Ufafanuzi wa kipekecho katika Kiswahili

kipekecho

nominoPlural vypekecho

  • 1

    kifaa kinachotumika kupekecha au kutoboa tundu kwenye kitu fulani.

Matamshi

kipekecho

/kipɛkɛtʃɔ/