Ufafanuzi msingi wa kipeo katika Kiswahili

: kipeo1kipeo2kipeo3

kipeo1

nominoPlural vipeo

  • 1

    chombo kinachotokana na tunda la mbuyu au mung’unye, kinachotumika kunywea k.v. maji, togwa au uji.

Matamshi

kipeo

/kipɛwO/

Ufafanuzi msingi wa kipeo katika Kiswahili

: kipeo1kipeo2kipeo3

kipeo2

nominoPlural vipeo

  • 1

    tarakimu inayoonyesha ni mara ngapi namba fulani izidishwe kwa yenyewe.

Matamshi

kipeo

/kipɛwO/

Ufafanuzi msingi wa kipeo katika Kiswahili

: kipeo1kipeo2kipeo3

kipeo3

nominoPlural vipeo

  • 1

    kilele cha mtiririko wa vituko vya hadithi.

Matamshi

kipeo

/kipɛwO/