Ufafanuzi wa kipete katika Kiswahili

kipete

nominoPlural vipete

  • 1

    kitu cha chuma au shaba kinachokazwa nje ya sanduku au mlango kwa kufungulia au kuchukulia.

Matamshi

kipete

/kipɛtɛ/