Ufafanuzi wa kipimajoto katika Kiswahili

kipimajoto, pimajoto

nomino

  • 1

    kifaa chenye zebaki kinachotumiwa kupimia joto.

    themometa

Matamshi

kipimajoto

/kipimaŹ„OtO/