Ufafanuzi msingi wa kipooza katika Kiswahili

: kipooza1kipooza2

kipooza1

nominoPlural vipooza

  • 1

    kiungo cha mwili kilichopoteza hisi.

Matamshi

kipooza

/kipɔ:za/

Ufafanuzi msingi wa kipooza katika Kiswahili

: kipooza1kipooza2

kipooza2

nominoPlural vipooza

  • 1

    tunda k.v. embe au parachichi linaloiva kabla ya kukomaa na kukosa ladha yake ya kawaida.

Matamshi

kipooza

/kipɔ:za/