Ufafanuzi msingi wa kipukusa katika Kiswahili

: kipukusa1kipukusa2kipukusa3kipukusa4

kipukusa1

nominoPlural vipukusa, Plural kipukusa

 • 1

  kitu k.v. majani ya mti kilichodondoka kutoka mtini.

Matamshi

kipukusa

/kipukusa/

Ufafanuzi msingi wa kipukusa katika Kiswahili

: kipukusa1kipukusa2kipukusa3kipukusa4

kipukusa2

nominoPlural vipukusa, Plural kipukusa

 • 1

  ugonjwa wa tauni.

  tauni

Matamshi

kipukusa

/kipukusa/

Ufafanuzi msingi wa kipukusa katika Kiswahili

: kipukusa1kipukusa2kipukusa3kipukusa4

kipukusa3

nominoPlural vipukusa, Plural kipukusa

 • 1

  mdudu anayetoboa miti na mbao.

Matamshi

kipukusa

/kipukusa/

Ufafanuzi msingi wa kipukusa katika Kiswahili

: kipukusa1kipukusa2kipukusa3kipukusa4

kipukusa4

nominoPlural vipukusa, Plural kipukusa

 • 1

  ndizi jamii ya kisukari yenye rangi ya manjano inapoiva.

Matamshi

kipukusa

/kipukusa/