Ufafanuzi msingi wa kiroboto katika Kiswahili

: kiroboto1kiroboto2

kiroboto1

nominoPlural viroboto

 • 1

  mdudu mdogo sana anayeuma na kufyonza damu na hupenda kukaa kwenye mavumbi au manyoya ya paka au ya mbwa.

Matamshi

kiroboto

/kirObOtO/

Ufafanuzi msingi wa kiroboto katika Kiswahili

: kiroboto1kiroboto2

kiroboto2

nominoPlural viroboto

kizamani
 • 1

  kizamani askari wa kukodiwa wa Mazrui.

  mamluki

 • 2

  kizamani jina maalumu apewalo askari wa kukodiwa katika ngano za fasihi simulizi.

Matamshi

kiroboto

/kirObOtO/