Ufafanuzi wa kishikizo katika Kiswahili

kishikizo

nominoPlural vishikizo

  • 1

    kitu cha kushikizia.

    ‘Shati langu limeng’oka kishikizo’
    kifungo

Matamshi

kishikizo

/kiʃikizO/