Ufafanuzi msingi wa kisi katika Kiswahili

: kisi1kisi2kisi3kisi4

kisi1

kitenzi elekezi

 • 1

  fikiria jambo au kitu bila ya kuwa na hakika.

Matamshi

kisi

/kisi/

Ufafanuzi msingi wa kisi katika Kiswahili

: kisi1kisi2kisi3kisi4

kisi2

nomino

 • 1

  busu la mdomoni.

Matamshi

kisi

/kisi/

Ufafanuzi msingi wa kisi katika Kiswahili

: kisi1kisi2kisi3kisi4

kisi3

kitenzi

Matamshi

kisi

/kisi/

Ufafanuzi msingi wa kisi katika Kiswahili

: kisi1kisi2kisi3kisi4

kisi4

kitenzi sielekezi

Kibaharia
 • 1

  Kibaharia
  enda kwa chombo mbele na nyuma ili kutafuta upepo.

Matamshi

kisi

/kisi/