Ufafanuzi wa kisomo katika Kiswahili

kisomo

nominoPlural visomo

Kidini
  • 1

    Kidini
    usomaji wa Kurani na uombaji wa dua na nyiradi unaofanywa na mkusanyiko wa Waislamu kwa madhumuni fulani.

Matamshi

kisomo

/kisOmO/