Ufafanuzi wa kisuguru katika Kiswahili

kisuguru

nominoPlural visuguru

  • 1

    ugumu katika mwili unaosababishwa na msuguano wa mara kwa mara wa sehemu ya kiungo na kitu kingine k.v. kiatu.

Matamshi

kisuguru

/kisuguru/