Ufafanuzi wa kitakizo katika Kiswahili

kitakizo

nominoPlural vitakizo

  • 1

    mti wa kitanda ulio kichwani na miguuni unaounganishwa na mfumbati.

Matamshi

kitakizo

/kitakizO/