Ufafanuzi wa kitamli katika Kiswahili

kitamli

nominoPlural vitamli

  • 1

    mnazi mfupi kuliko mnazi wa kawaida.

  • 2

    nazi au dafu linalotokana na mnazi huo.

Matamshi

kitamli

/kitamli/