Ufafanuzi wa kitana katika Kiswahili

kitana, kichana

nominoPlural vitana

  • 1

    kitu chenye njiti nyingi kinachotumiwa kwa kuchania nywele.

Matamshi

kitana

/kitana/