Ufafanuzi wa kitango katika Kiswahili

kitango

nominoPlural vitango

  • 1

    kipande cha nguo au ngozi cha kukazia godoro wakati wa kushona.

    kitengele

Matamshi

kitango

/kitangO/