Ufafanuzi wa kitani katika Kiswahili

kitani

nominoPlural vitani

  • 1

    nyuzi zinazotokana na gome la mti wenye asili ya India ambazo hutumiwa kutengenezea k.v. magunia, mazulia au kamba.

Matamshi

kitani

/kitani/