Ufafanuzi wa kitapo katika Kiswahili

kitapo

nominoPlural vitapo

  • 1

    mtetemeko wa mwili unaosababishwa na baridi, ugonjwa au hofu.

    ‘Alipofika mkubwa wake, alishikwa na kitapo’

Matamshi

kitapo

/kitapO/