Ufafanuzi wa kitefute katika Kiswahili

kitefute

nominoPlural vitefute

  • 1

    fupa la shavuni.

    kituku, kituguta

Matamshi

kitefute

/kitɛfutɛ/