Ufafanuzi wa kitendo katika Kiswahili

kitendo

nominoPlural vitendo

  • 1

    jambo linalotendwa au kufanywa.

    tendo, fiili

Matamshi

kitendo

/kitɛndɔ/