Ufafanuzi wa kithiri katika Kiswahili

kithiri

kitenzi sielekezi

  • 1

    kuwa zaidi; pita mpaka.

    ‘Mnazi huu umekithiri kuzaa’
    pindukia, zidi

Matamshi

kithiri

/kiθiri/