Ufafanuzi wa kitibegi katika Kiswahili

kitibegi

nomino

  • 1

    mfuko mrefu wa nguo ambao askari huutumia kuwekea vifaa vyao.

Asili

Kng

Matamshi

kitibegi

/kitibɛgi/