Ufafanuzi wa kitoria katika Kiswahili

kitoria

nominoPlural vitoria

  • 1

    tunda jamii ya bungo lenye kokwa na maganda laini, lakini dogo kuliko bungo.

Matamshi

kitoria

/kitOrija/