Ufafanuzi wa kiua katika Kiswahili

kiua

nominoPlural viua

  • 1

    tundu mojawapo la urembo katika ushonaji wa kofia ya mkono.

Matamshi

kiua

/kiuwa/