Ufafanuzi msingi wa kiumbe katika Kiswahili

: kiumbe1kiumbe2

kiumbe1

nominoPlural viumbe

  • 1

    kitu chenye uhai k.v. binadamu, mnyama, jini, ndege, samaki na wadudu.

    mahuluku

Matamshi

kiumbe

/kiwumbɛ/

Ufafanuzi msingi wa kiumbe katika Kiswahili

: kiumbe1kiumbe2

kiumbe2

nominoPlural viumbe

  • 1

    kitu ambacho kimeumbwa k.v miti na mimea, na kile ambacho hakina uhai k.v. mlima, mbingu.

Matamshi

kiumbe

/kiwumbɛ/