Ufafanuzi msingi wa kiunga katika Kiswahili

: kiunga1kiunga2kiunga3

kiunga1

nominoPlural viunga

  • 1

    mahali nje ya mji.

Matamshi

kiunga

/kiwunga/

Ufafanuzi msingi wa kiunga katika Kiswahili

: kiunga1kiunga2kiunga3

kiunga2

nominoPlural viunga

  • 1

    shamba lenye miti mbalimbali ya matunda.

Matamshi

kiunga

/kiwunga/

Ufafanuzi msingi wa kiunga katika Kiswahili

: kiunga1kiunga2kiunga3

kiunga3

nominoPlural viunga

  • 1

    samaki anayefanana na pono mwenye rangi nyekundu na kijivu tumboni na nyekundu na kahawia mgongoni.

Matamshi

kiunga

/kiwunga/