Ufafanuzi msingi wa kizimba katika Kiswahili

: kizimba1kizimba2

kizimba1

nomino

  • 1

    tundu la kuwekea kuku au wanyama.

Matamshi

kizimba

/kizimba/

Ufafanuzi msingi wa kizimba katika Kiswahili

: kizimba1kizimba2

kizimba2

nomino

  • 1

    ulingo ulio mahakamani uliojengwa kama sanduku ambamo mshitaki, mshtakiwa au shahidi husimama wakati wa kesi.

Matamshi

kizimba

/kizimba/