Ufafanuzi wa kizoleo katika Kiswahili

kizoleo

nomino

  • 1

    kifaa cha kuzolea taka baada ya kuikusanya sehemu moja.

Matamshi

kizoleo

/kizOlɛO/