Ufafanuzi msingi wa klabu katika Kiswahili

: klabu1klabu2klabu3

klabu1

nomino

 • 1

  kundi la watu walioungana kushughulika na jambo, hasa la michezo.

  ‘Klabu ya mpira’

Asili

Kng

Ufafanuzi msingi wa klabu katika Kiswahili

: klabu1klabu2klabu3

klabu2

nomino

 • 1

  jengo ambalo ni makao au mahali wanapokutana wanachama wa michezo.

 • 2

  nadi

Asili

Kng

Matamshi

klabu

/klabu/

Ufafanuzi msingi wa klabu katika Kiswahili

: klabu1klabu2klabu3

klabu3

nomino

 • 1

  mahali maalumu panapouzwa na kunywewa pombe hasa kwa wanachama.

Asili

Kng

Matamshi

klabu

/klabu/