Ufafanuzi msingi wa kobwe katika Kiswahili

: kobwe1kobwe2kobwe3

kobwe1

nominoPlural makobwe, Plural kobwe

  • 1

    aina ya maharage kama kunde.

Matamshi

kobwe

/kObwɛ/

Ufafanuzi msingi wa kobwe katika Kiswahili

: kobwe1kobwe2kobwe3

kobwe2

nominoPlural makobwe, Plural kobwe

  • 1

    mdudu mfano wa konokono.

Matamshi

kobwe

/kObwɛ/

Ufafanuzi msingi wa kobwe katika Kiswahili

: kobwe1kobwe2kobwe3

kobwe3

nominoPlural makobwe, Plural kobwe

  • 1

    maradhi ya tumbo yanayomshika mtoto mchanga, hasa sehemu ya kitovu, pengine kitovu huvimba na kuwa kikubwa.

Matamshi

kobwe

/kObwɛ/