Ufafanuzi wa kojokojo katika Kiswahili

kojokojo

nominoPlural makojokojo

  • 1

    mdudu wa baharini afananaye na jongoo wa pwani lakini aliye laini, mwororo na mrefu zaidi.

    zongapindu

Matamshi

kojokojo

/kOʄOkOʄO/