Ufafanuzi wa koli katika Kiswahili

koli

nominoPlural koli

  • 1

    hati ya jahazi au chombo kinachoonyesha majina ya mabaharia waliomo, abiria na bidhaa zipakuliwazo na zipakiwazo.

  • 2

    chombo cha madini kitumiwacho kuwekea hati hizo.

Matamshi

koli

/kOli/