nominoPlural koma, Plural makoma
- 1
kabuli iaminiwayo na baadhi ya watu kwamba hupatikana kwa kuombwa makaburini au mahali maalumu penye nguvu za kijadi; ikibali ya wahenga kwa vizazi vyao vilivyo hai.
nominoPlural koma, Plural makoma
- 1
tunda lenye kokwa ngumu sana na iliyo na uwazi ndani.
koche
nominoPlural koma, Plural makoma
- 1
hali ya mgonjwa kuwa mahututi kutokana na kujeruhiwa vibaya au ugonjwa mkali, kiasi cha kuwa hawezi kula, kuongea au kufurukuta, agh. huwekwa kwa muda fulani kwenye chumba maalumu kumsaidia kupumua na kutibiwa mpaka azindukane.
nominoPlural koma, Plural makoma
Sarufi- 1
Sarufi
alama katika maandishi (,) inayoashiria kupumzika kidogo au kutenganisha vitu vilivyoorodheshwa.mkato
kitenzi sielekezi
- 1
acha kuendelea kutenda jambo.
‘Komaea, komaeka, komaesha’hulu, gea, taliki, acha