Ufafanuzi wa komandoo katika Kiswahili

komandoo

nominoPlural makomandoo

  • 1

    mwanajeshi aliyefunzwa mbinu za kupambana na mazingira magumu k.v. uokoaji au upelelezi.

Asili

Kng

Matamshi

komandoo

/kOmandɔ:/