Ufafanuzi wa kombamoyo katika Kiswahili

kombamoyo

nominoPlural makombamoyo

  • 1

    mbao inayotumiwa kushikilia fito za paa la nyumba.

Matamshi

kombamoyo

/kOmbamOjO/