Ufafanuzi wa komesha katika Kiswahili

komesha

kitenzi elekezi

  • 1

    zuia jambo lisifanyike.

    zuia, sitisha, akifisha

Matamshi

komesha

/kOmɛʃa/