Ufafanuzi wa komwe katika Kiswahili

komwe

nomino

  • 1

    mbegu za mkomwe zinazotumika kwa kuchezea bao.

    kete, namu, solo

Matamshi

komwe

/kOmwɛ/