Ufafanuzi msingi wa kondo katika Kiswahili

: kondo1kondo2kondo3

kondo1

nominoPlural kondo

  • 1

    muda wa mwanamke kupumzika baada ya kuzaa.

Ufafanuzi msingi wa kondo katika Kiswahili

: kondo1kondo2kondo3

kondo2

nominoPlural kondo

Ufafanuzi msingi wa kondo katika Kiswahili

: kondo1kondo2kondo3

kondo3

nominoPlural kondo

  • 1

    afya bora.

    siha

Matamshi

kondo

/kOndO/