Ufafanuzi wa kondomu katika Kiswahili

kondomu

nominoPlural kondomu

  • 1

    kifuko cha mpira kinachovalishwa uume au kutiwa ukeni wakati wa kujamiiana ili kuzuia mimba au magonjwa ya zinaa.

Asili

Kng

Matamshi

kondomu

/kOndOmu/