Ufafanuzi wa konstebo katika Kiswahili

konstebo, kostebo, konsitebo

nomino

  • 1

    polisi wa cheo cha chini.

Asili

Kng

Matamshi

konstebo

/kOnstɛbO/