Ufafanuzi wa kontrakti katika Kiswahili

kontrakti, kondrati

nomino

  • 1

    mapatano yanayofanyiwa watu wawili au pande mbili kwa ajili ya kufanyiwa jambo fulani kwa muda maalumu na kwa malipo maalumu mpaka kazi au muda wenyewe uishe.

    ‘Kontrakti ya kujenga’

Asili

Kng

Matamshi

kontrakti

/kOntrakti/