Ufafanuzi wa konyoa katika Kiswahili

konyoa

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lea, ~leana, ~lewa, ~sha

  • 1

    ng’oa k.v. mahindi katika bua.

  • 2

    tenganisha tunda kutoka kwenye kikonyo au tawi lake k.v. korosho kutoka kwenye kanju.

Matamshi

konyoa

/kO3Owa/