Ufafanuzi msingi wa koroma katika Kiswahili

: koroma1koroma2

koroma1

kitenzi sielekezi

  • 1

    toa sauti nzito ya mkwaruzo kwa kuvuta au kutoa pumzi puani kama afanyavyo mtu aliyelala.

    korota, forota

Matamshi

koroma

/kOrOma/

Ufafanuzi msingi wa koroma katika Kiswahili

: koroma1koroma2

koroma2

nomino

  • 1

    nazi iliyo karibu kupevuka.

Matamshi

koroma

/kOrOma/