Ufafanuzi wa korona katika Kiswahili

korona

nomino

  • 1

    kinu cha kukoboa, kusafisha na kutoa kamba za mkonge.

Matamshi

korona

/kOrOna/