Ufafanuzi wa kosesha katika Kiswahili

kosesha

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~ewa, ~wa

  • 1

    fanya mtu atende kosa.

    potosha

Matamshi

kosesha

/kOsɛʃa/