Ufafanuzi wa koya katika Kiswahili

koya

kitenzi sielekezi~ea, ~eka, ~esha

  • 1

    pumzika na furahi baada ya kumaliza jambo au kutoka katika shida.

Matamshi

koya

/kOja/