Ufafanuzi wa kudura katika Kiswahili

kudura

nominoPlural kudura

Kidini
  • 1

    Kidini
    nguvu au uwezo wa Mungu.

    ‘Kwa kudura za Mwenyezi Mungu’
    kadari, majaaliwa

Asili

Kar

Matamshi

kudura

/kudura/