Ufafanuzi wa Kufa kingoto katika Kiswahili

Kufa kingoto

msemo

  • 1

    vumilia machungu bila ya kulalamika.

Ufafanuzi wa Kufa kingoto katika Kiswahili

Kufa kingoto

msemo

  • 1

    vumilia machungu bila ya kutoa sauti au kulalamika.